14 opiniones en “Staa wa Sevilla FC amekiri hadharani kuhusu Bocco, Niyonzima na Kagere”

  1. Mashabiki wa Yanga watakuwa na akili timamu mpaka Zahara atakapoondoka kwenye Timu yao. Wanaumwa kwakweli. Clabu bingwa hawamo,Shirikisho hawamo,sasa ili kujipoza wanatafuta matukio ya Simba ili wapate KOKO sio KIKI tena.

  2. Hongera club yetu ya simba kwa hatua ilipo fikia hiyo ni record kubwa siyo ndogo kutoka 5-4 dhidi ya sevila big up simba hadi hao wenyewe wenye sevila yao wamekubali ujue ujue siyo jambo dogo.this is simbaaa

Comentarios cerrados.