Subscribes:
Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia alitoa shukrani kwa SportPesa kwa kufanikisha ujio wa Sevilla ambao anaamini utakuwa na maganikio kwa TFF na kwa wachezaji wa Simba.
Karia alisema, makubaliano waliyafikia hivi karibuni na Laliga na kikubwa katika kuleta ushirikiano wa kisoka ili kufikia levo za kimataifa.
Aliongeza kuwa, kwa kupitia ujio wa Sevilla klabu zao zitapata mafanikio kutokana na kliniki waliyowapa viongozi wa klabu leo (Jana).
«Pongezi nyingi zihende kwa SportPesa ambao wao wamekuwa wadau wetu wazuri katika kukuza na kuendeleza Soka nchini.
Instagram:
Facebook:
Twitter:
Camisetas Senegal Todas las Noticias y Vídeos sobre Fútbol y mucho más, Sigue las Últimas Noticias en Directo.
Sevila ni weusi wote?
Wanatrain Hadi na kofia ..
oor o
oor k 95970 mmk.
. download m9o
Ni dharau kwel hao sio U17??? Kwel
Kwasevila hii simba mtalia mno
Wacha waje
Mie kanikera ilo kameralake ananunua simu ya 2000 kushuti video😡
https://youtu.be/lDms5GTJfZw
Sio bombom. Hiyo ni Boom fc ya ilala
sevila.gan.acheni.huongo
Mbn mijamaa imepanda hewani hivyo
Acheni ufala
Acheni uongo myie bwana wekeni vitu asilia
Mbona hakuna mchezaji wa sevila apo??
Yanga wanatamani wao ndio wangepewa hata nafasi hii tu. Jamani mbona wanaonewa wana wana yanga😀😀😀😀😀
mbona vidong
Walivyofanya zoez au walivyofundisha watoto??