Sevilla FC Wafanya Mazoezi na BomBom FC Uwanja wa Uhuru Dar



Subscribes:
Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia alitoa shukrani kwa SportPesa kwa kufanikisha ujio wa Sevilla ambao anaamini utakuwa na maganikio kwa TFF na kwa wachezaji wa Simba.

Karia alisema, makubaliano waliyafikia hivi karibuni na Laliga na kikubwa katika kuleta ushirikiano wa kisoka ili kufikia levo za kimataifa.

Aliongeza kuwa, kwa kupitia ujio wa Sevilla klabu zao zitapata mafanikio kutokana na kliniki waliyowapa viongozi wa klabu leo (Jana).

«Pongezi nyingi zihende kwa SportPesa ambao wao wamekuwa wadau wetu wazuri katika kukuza na kuendeleza Soka nchini.
Instagram:

Facebook:

Twitter:

Camisetas Senegal Todas las Noticias y Vídeos sobre Fútbol y mucho más, Sigue las Últimas Noticias en Directo.